Arsenal timu kubwa sana imepata jezi mpya kutoka wadau wapya Puma...Puma wamechukua nafasu ya Nike kwa msimu ujao...Nyuzi za Arsenal zimesimamia umakini wa Puma na historia ya club ya Arsenal...Rangi ya Arsenal ya nyeupe na nyekundu iko palepale ambayo ilianza kuonekana mwaka 1933...
Nyuzi hizi zinafuata mantiki ya club ya 'Future, Forever, Victorious'...Nyuzi ya njano itatumika kwa game za nje...Nyuzi ya Blue itatumika kwenye mashindano makubwa kama Champions League na FA Cup...Bofya hapa upate habari zaidi...
0 Yorumlar